Deuteronomy 31:24-26

24 aBaada ya Musa kumaliza kuandika kwenye kitabu maneno ya sheria hii kutoka mwanzo hadi mwisho, 25akawapa Walawi wale waliolibeba Sanduku la Agano la Bwana agizo hili, akawaambia: 26“Chukueni Kitabu hiki cha Sheria mkakiweke kando ya Sanduku la Agano la Bwana Mwenyezi Mungu wenu. Hapo ndipo kitakapokaa kama shahidi dhidi yenu.
Copyright information for SwhKC